Gloria Muliro - Nakubaliana Lyrics | Klassik Nation

ARTIST: GLORIA MULIRO

WATCH VIDEO


Nakubaliana Lyrics by GLORIA MULIRO Heey heyy na na na Nakubaliana na neno lako Bwana Nitasimama kwa neno lako Bwana Nakubaliana na neno lako Bwana Nitasimama kwa neno kwa lako Nakubaliana

[CHORUS] (Nakubaliana na neno lako Bwana. Nitasimama Nitasimama kwa neno lako Bwana Nakubaliana na neno lako Bwana Nitasimama kwa neno lako Bwana) [VERSE 1] Ni neno lako tu halibadiliki Ni neno lako tu lakutumaini Umeliiniwa juu ya jina lako,neno Halikurudii bure,neno la kinywa chako Bwana Acha nilishikilie nilitumaini nikikungoja Bwana Acha nilishikilie nilitumaini nikikungoja Bwana. Kila ulilosema ni kweli Hata likikawia ni kweli Kila ulilosema ni kweli Hata likikawia ni kweli. Ahadi zako kwangu ni kweli Hata zikikawia Nakubaliana

[CHORUS] (Nakubaliana na neno lako Bwana Nitasimama kwa neno lako Bwana Nakubaliana na neno lako Bwana Nitasimama kwa neno lako Bwana) Mmmmmh...ooo,wo wo wo Nitasimama Nakubaliana eeeh

[VERSE 2] Daktari amenipa ripoti yake, sikubaliani. Maana Bwana ulituma neno lako ili mimi nipone Majina yote mimi nilioitwa sikubaliani Maana mbele za Mungu ninafaa Tena mimi ni wa maana Maana mbele za Mungu ninafaa Tena mimi ni wa maana Iwe kwangu utakavyo babaa Iwe nami upendavyo Babaa Iwe kwangu utakavyo Babaa Iwe kwangu utakavyo eeeeh nakubaliana

[CHORUS] (Nakubaliana na neno lako Bwana Nitasimama kwa neno lako Bwana Nakubaliana na neno lako Bwana Nitasimama kwa neno lako Bwana) Nitasimama (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitaishi (Nitaishi) Nitaishi (Nitaishi) Nitaishi (Nitaishi) Nitaishi (Nitaishi) Nitaishi (Sitakufa) Nitaishi (Nitaishi) Nitaishi (Milele) Nitaishi (Nitaishi) Nitaishi (Nitaishi) Niko na Mungu nitasimama (Nitasimama) Nitasimama Niko na Mungu nitasimama Nitasimama (Nitasimama) Nina iman  (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nina neno (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitasimama (Nitasimama) Nitaishi (Nitaishi) Nitaishi (Nitaishi) Huduma yangu nitaishi Biashara yangu nitaishi Vyote vyangu nitaishi Eeeehhh nitaishi,nitaishi Nitaishi,sitakufa,sitakufa Nanena uhai leo  maishani mwangu


#Nakubaliana #GloriaMuliro #KlassikLyrics

Is a full-service management, music publishing &entertainment company.
  • SoundCloud
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram