Blessed Paul x DON SANTO - Wema Wako Lyrics | Klassik Nation

ARTISTE: BLESSED PAUL X DON SANTO

WRITTEN BY: BLAME IT ON DON

RECORD LABEL: KLASSIK NATION

WATCH VIDEO


CHORUS

Baba wema wako watosha! x4

STANZA ONE

||: Bwana Yesu wangu nakupenda toka jadi.

Wema wako Bwana umenifanya niwe hai. :||

Umenipa sauti naimba;

Umenipa uhuru na nena;

Neno lako chakula cha roho;

Wema wako ni tele tele tele ai!

CHORUS

Baba wema wako watosha! x4

STANZA TWO

Ulikufa msalabani, nafsi ya ikapona;

Hata leo ninakiri, kwamba wewe ni Bwana;

[ Ulipigwa pigwa, ukateswa teswa wema wako wa ajaabu. x2 ]

Umenipa sauti naimba;

Umenipa uhuru na nena;

Neno lako chakula cha roho;

Wema wako ni tele tele tele ai!

CHORUS

Baba wema wako watosha! x4

STANZA THREE

Unaponya, Yesu wangu wewe wapendeza.

Waongoza, njia zangu zote nakupenda.

Ninapenda kuimba (ladida ladida);

Ninapenda kusifu (ladida ladida);

Ninapenda kucheza (ladida ladida);

Nakupenda… (ladida ladida);

Aram tapa tapa ninapata vitu vingi hata kutaja nashindwa;

Bila ule wema wako mimi ningekuwa kitu bure Yesu nakupenda ah ah!

CHORUS

Baba wema wako watosha! x4


Is a full-service management, music publishing &entertainment company.
  • SoundCloud
  • Facebook
  • Twitter
  • YouTube
  • Instagram